Bungeni Dodoma katika uwajibikaji
Baadhi ya wabunge wa Bunge la muungano, wakipanda basi kuelekea bungeni Dodoma mwaka 1984. aliye mbele ni naibu Spika Chifu Kasusura. Je, leo hali ikoje wandugu? kwa nini utaratibu huu usirudishwwe?
simu ya bei mbaya zaidi duniani
Jiji la Dar es Salaam nyakati za usiku
mtoto wa ajabu aliyezaliwa akiwa hana mikono, tumbo, kichwa mkoani Singida jana



mbunge Joseph Selasini ambaye amepata ajali jioni hiii, huko Boma Ng;'ombe wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro. Inaaaminika kuwa mama yake mzazi, Glosia Shao ni mionini mwa waliofariki dunia. Tumwombee sana.


No comments:
Post a Comment