Social Icons

NDOA YANGU, Ningejua!

NDOA YANGU, Ningejua!

HABARI ZA SASA


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ametangaza kuahirishwa kwa uchaguzi wa Udiwani katika kata za Elerai, Themi, Kaloleni na kimandolu Manispaa ya Arusha hadi tarehe 14/7/2013.
Akizungumza na waandishi wa habari mchana huu,  amesema sababu kuu  ya kuahirisha tena uchaguzi huo, ni kuendelea kuwepo kwa hali tete ya  amani kuweza kuruhusu uchaguzi kufanyika kwa sasa.

Itakumbukwa kuwa Uchaguzi wa Kata Hizi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16/6 uliahirishwa hadi tarehe 30/6 kutokana na mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kufunga kampeni wa CHADEMA.
Kampeni hazitakuwepo kwa kipindi hiki hadi tarehe ya Uchaguzi.

No comments:

Post a Comment