Niende kwenye lengo mahususi la uzi wangu, najiuliza maswali yafuatayo:-
- Kwanini kesi zinashughulikiwa na kuitwa za ugaidi ni zile zinazoihusidha Chadema pekee ili kuidhoofisha?
- Kwanini Kesi ya mwangosi, Ulimboka na Kibanda Maghaidi hawatafutwi na kufunguliwa kesi za Ugaidi?
- Kuhusu kesi ya mauaji ya Mwangosi huwezi kabisa kuitenganisha kamati ya siasa ya ccm Iringa ambayo Mkuu wa Mkoa Iringa huwezi kumtenganisha ambaye pia Kamhanda alikuwa muallikwa ambaye kwa misingi hiyo ndiye aliyepewa maelekezo yale ya kumuua Mwangosi na Viongozi wa Chadema akiwemo Dr. Slaa ambao waliokolewa tu na nguvu za Mwenyezi Mungu.
Wadau naomba kuwaulizeni kama matukio yanayohusisha ugaidi ni yale wanayozushiwa Chadema pekee.
No comments:
Post a Comment