Social Icons

NDOA YANGU, Ningejua!

NDOA YANGU, Ningejua!

MAKINDA: MISHAHARA YA WABUNGE NI MIDOGO

Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania bi Anne Makinda ameibuka na kudai kuwa wabunge wanalipwa mshahara kidogo hivyo kuna haja ya kuongezwa kiasi cha mishahara yao kulingana na majikumu na hali ya maisha ya sasa.


Kataja malipo wanayolipwa ijapokuwa hakutaja mishahara yao akianzia na posho ya vikao ya Sh. 330,000 kwa siku, pia kataja shs. 30,000,000/= ambazo hupewa kama mfuko wa jimbo; 72,000,000 kama kiinua mgongo baada ya kumaliza miaka 5 na kudai wengi wa wabunge huchoka sana wakimaliza muda wao hivyo ni vema wakaongezewa fedha kukidhi mazingira waliyopo.

No comments:

Post a Comment