Social Icons

NDOA YANGU, Ningejua!

NDOA YANGU, Ningejua!

VICHEKESHO


mke azimia kwa sms

Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye alikuwa ni mwanamke mjane. Yule mjane baada ya kuisoma akaanguka na kuzimia! Mwanae kuona vile akachukua simu na kusoma kilichomfanya mama yake azimie. Iliandikwa hivi:
MKE WANGU MPENZI, NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS HII. HUKU NAKO KUNA MTANDAO KAMA HUKO. MIMI NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA HUKU KESHO NIMEYAKAMILISHA NA HIVI NAKUSUBIRI SANA KWA HAMU HONEY!

Mangi kakamatwa na askari.alipofika kituoni mambo yalikuwa ivi.
Askari ...unaitwa nani?
Mchaga ... Mboya afande!
Askari... Wacha kufanya utani na chombo cha usalama.untaja sehemu zangu za siri.
Mchaga .. Hapana ilo ndilo jina langu babangu naitwa mboya afande.
Wacha jamaa achezee kichapo baadae ndo anasema mi naitwa
mr mboya


MHAYA AKISIFIWA BWANA, NI BALAA 

RAFIKI: aisee kabila lenu mna akili sana

RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani hukumbuki kipindi kire tukiwa wingereza na akina blackberry rweyemamu, iPod ruganyizi, screen-touch rwezaura, facebook rwekaza, message sent kokusima na vokswargen rugangira tulikuwa tunaongoza sana kwa kufauru darasani
JIRANI: rugaimukamu leo umependeza
RUGAIMUKAMU: mh infwact ungeniona jana je?
MWALIMU: mwanao ana akili sana darasani
RUGAIMUKAMU: actuare mimi bado hajaniimpress kabisa, he is not siriasi kwakweri



majina ya viongozi na celebrities wetu yakiandikwa kizungu

1. John pombe magufuli = John Beer Locks
2. Mama Mwanamwema shema = Mama Goodson Shein
3. Zitto Kabwe = Heavy Kabwe
4. ukiwaona ditopile = If you see them Ditopile
5. shukuru Kawambwa = Thanks overlay
6. Yusufu Makamba = Yusuf Marope




A tourist asked a boat guy, Do u know Biology, Psychology, Geography,Geology and Criminology? The boat guy said NO....
The tourist then said: What the hell u know on the face of this earth? U will die of illiteracy!
After a while, the boat started sinking, so the boatman asked the tourist:
Do u ... know Swimology and Escapology from Crocodilogy?
The tourist said NO,
The boat guy replied: Well u will Drownology and Crocodilogy will eat your Assology and u will Dieology because of your Badmouthology


Mama mmoja mjamzito - ujazito wake ukiwa kama miezi minane hivi - aliingia ndani ya basi na kuketi tayari kuanza safari. Mara akamuona kijana mmoja (umri upatao miaka 20 hivi) anamwangalia sana, mama akakerwa na akahamia kiti kingine. Kijana akazidi kumwangalia, safari hii akitabasamu. Mama akahamia kiti kingine, mara hii kijana akaanza kucheka. Mama akahamia mbali kidogo, yule kijana kuona mama alipokaa akaangua kicheko kikubwa hadi machozi yakamtoka.

Mama akalalamika kwa dereva kwamba kijana amemdhalilisha kwa kumcheka bila sababu ya maana. Dereva akapeleka basi polisi, kijana akakamatwa na kesho yake akapelekwa mahakamani.
Hakimu kwa ukali akamwambia kijana ajieleze kwa nini alifanya ufedhuli kama ule kwa mama mjamzito. Kijana akamwambia hakimu:

"Mheshimiwa, huyu mama alipoingia ndani ya basi sikuwa na jinsi ya kukwepa kuona kuwa alikuwa mjamzito. Kiti cha kwanza alichokaa juu yake kulikuwa na tangazo linasema PIPI KIFUA PACHA ZIPO NJIANI, nikatabasamu. Akahamia kiti cha pili, nacho juu yake kulikuwa na tangazo linasema SALIMIA INGEPUNGUZA UVIMBE, nikajizuia kucheka japo kwa shida. Alipohamia kiti cha tatu juu yake kulikuwa na tangazo lililosema SOSEJI ZA FARMER'S CHOICE NDIZO ZILIZOMSHIBISHA na nikashindwa kujizuia kucheka. Alipohamia kiti cha nne tangazo lilikuwa SALAMA CONDOM INGEZUIA TATIZO HILI hapo ndio nikaishiwa na nguvu kabisa na kuangua kicheko cha nguvu".

20 comments:

  1. PADRI mmoja alihubiri kwa muda mrefu, na alipogundua waamini wake wamechoka, akauliza swali: 'wangapi wanataka kwenda motoni? hakuna aliyenyoosha mkono. akauliza tena, 'wangapi wanataka kwenda mbinguni?, wote wakanyoosha mikono yao kasoro mmoja. Padri akamuuliza..'ndugu nilipouliza nani wanaotaka kwenda motoni, hukunyoosha, na nilipouliza wanaotaka kwenda mbinguni pia hukunyoosha. Sasa wewe wataka kwenda wapi? Yule mtu akasema kwa sauti. MIMI NATAKA KWENDA NYUMBANI NIMECHOKA!

    ReplyDelete
  2. Drunker
    In an alcohol factory the regular taster died and the director started looking for a new one to hire.

    A drunkard with ragged, dirty look came to apply for the position.
    The director of the factory wondered how to send him away.

    They tested him.

    They gave him a glass with a drink. He tried it and said,
    "It’s red wine, a muscat, three years old, grown on a north slope, matured in steel containers."
    "That’s correct", said the boss.
    Another glass; "It’s red wine , Cabernet, eight years old, a southwestern slope, oak barrels."
    "Correct."

    The director was astonished.
    He winked at his secretary to suggest something.

    She brought in a glass of urine. The alcoholic tried it.

    "It’s a blonde, 26 years old, pregnant in the third month. And if you don’t give me the job, I’ll also tell who’s the father!"

    Na hii pia:

    Mwanamke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
    Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
    mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimejisaidia huku nimesimama!"

    ReplyDelete
  3. CHEKA KIDOGO

    Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!

    JAMAA: VP tena darling kulikon?

    MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?

    JAMAA: aaah! wik ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yan faras wangu aliitwa JENNY!

    MKE: sorry darling!

    Siku ilofuata jamaa akiwa amekaa kochin huku akisoma gazet, alishtukia tena frampen ya uso "kwaang!"

    JAMAA: Uwiiiiiii! jaman darling kulikon tena?

    MKE: faras wako kapiga cm!

    ReplyDelete
  4. Mi yangu kuvunja mbavu tuuu!!!!!

    ReplyDelete
  5. noma sana
    😁😁😁😁😁😁

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahahahaahaja

    ReplyDelete
  7. niaje wazee hii ni bomba kinoma

    ReplyDelete